Showing posts with label Afya. Show all posts
Showing posts with label Afya. Show all posts

Makalio Madogo Ni kikwazo Kwa Wanawake Wengi!! Bofya Hapa


Wanawake nchini Venezuela wanatumia kemikali haramu kuongeza ukubwa wa makalioyao na kujiletea madhara makubwa ya kiafya Hii ni kutokana na mtindo ambao unaonekana na wengi nchini humo kwamba mwanamke mwenye makalio makubwa ndiye anayependeza zaidi

HAYA NDIYO MADHARA YA KULALA NA NGUO ZA NDANI!! SOME HAPA


Wataalam wa magonjwa ya kina mama na watoto wamebainisha madhara ambayo yanaweza kuwapata kina mama na wasichana wenye tabia ya kuvaa nguo za ndani wakati wa kulala, maumbile ya kike yanaitaji kupumua ili kuzuia maambukizi kama vile fangasi ndio maana madaktari wanashauri kulala bila nguo au kuvaa vinguo vyepesi..

UTAFITI: HARUFU MBAYA YA KUJAMBA ( KUTOA USHUZI ) INAZUIA MAGONJWA ......MAGONJWA YAPI?






Kila mmoja wetu kwa wakati fulani huhisi kuvimbiwa na gesi nyingi tumboni.

Suluhu ya pekee hapa huwa ni kujamba ili kupunguza gesi hiyo.

Uwezekano wa janga la Ukimwi kutokomezwa 2030.




Habari njema ni kwamba kuna uwezekano wa Janga la Ukimwi kudhibitiwa ifikapo mwaka 2030, kwa mujibu wa ripoti ya shirika la Umoja wa mataifa la kupambana na Ukimwi.

Una tatizo la kufika kileleni mapema?....Bofya hapa ukutane na maajabu ya korodani za mbuzi na kuku na dawa ya Jiko katika kutibu tatizo hilo

Ukosefu ama upungufu wa nguvu za kiume
ni ile hali ya mwanaume kutokuwa na
uwezo wa kukamilisha tendo la ndoa kwa
ufasaha.

WASIO NA VIRUSI VYA UKIMWI WATAKIWA WAANZE KUTUMIA DAWA ZA ARVS





Shirika la afya duniani, limewaasa wanaume wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja, kutumia dawa za kupunguza makali ya HIV hata ikiwa hawajaambukizwa HIV.

Mambo ya kuzingatia iwapo unataka kushika mimba

Kuna sababu mbalimbali zinazoweza kumfanya mtu asishike mimba. Sababu hizo zinaweza zikawa zinamhusu mwanamke, mwanamume au wakati mwingine kutojulikana kabisa hali hiyo imesababishwa na nini. Wataalamu wanasema kwamba kwa miaka 20 iliyopita matatizo yanayohusu kushindwa kuzaa yameongezeka kwa kiwango kikubwa na asilimia 25 ya watu wanaotaka kubeba mimba na kuzaa mtoto wanakabiliwa na tatizo hilo.