Showing posts with label Music. Show all posts
Showing posts with label Music. Show all posts
LINAH AIBWAGA RASMI THT..SOMA ZAIDI

Mwanamuziki ambaye ni zao la Jumba la Vipaji Tanzania ‘THT’ Estalina Sanga ‘Linah’ ameaga rasmi jumba hilo ambapo inadaiwa kwa sasa atakuwa chini ya Kampuni ya No Fake Zone ‘NFZ’ inayoendesha shughuli zake nchini Afrika Kusini.
Sentensi 4 alizoziongea Ally Kiba kuhusu Diamond Platnumz.......KIBA BUAAAANA

Mtaani kumekua na stori nyingi sana zinazowahusisha mastar kutoka Kigoma Ally Kiba pamoja na Diamond Platnumz na maneno mengi yamekua ni kuhusu uhusiano wao kama wanamuziki.
Unamkumbuka Rapa aliyejikata sehemu za siri? kaja na hii mpya.

Mwezi April ilisambaa stori juu ya mwanamuziki wa Hip Hop Andre Johnson kujikata sehemu zake za siri ambapo stori hiyo iliripotiwa na vyombo kadhaa duniani lakini mbali na kujikata sehemu hizo alijirusha kutoka juu ya jumba moja mjini Los Angeles.
DR DRE AWAZAWADIA TIMU YA UJERUMANI HEAD PHONES 24 ZA DHAHABU KWA KUTWAA UBINGWA WA DUNIA
Rapper,
producer na mwanzilishi wa Beats Electronics, Dr. Dre ni miongoni mwa
mashabiki wa timu ya taifa ya Ujerumani iliyotwaa kombe la FIFA la dunia
jana (July 13) nchini Brazil.Kutokana na ushindi huo wa Ujerumani Dre
ameamua kuipongeza timu hiyo kwa zawadi special ya headphones za dhahabu
(special edition 24 carat gold dipped Beats Pro headphones). Wachezaji
wote 23 watapata headphones kila mmoja pamoja na meneja wao wa 24.
Subscribe to:
Posts (Atom)








