Showing posts with label Mahusiano. Show all posts
Showing posts with label Mahusiano. Show all posts

Mwanamke Mwenye Makalio na MapajaMakubwa ni Bora Kwa Afya!! SOMA HAPA

Wanawake wenye makalio makubwa namapaja makubwa kama vile Beyonce
naJeniffer Lopez wana uwezekano mdogosana wa kupata magonjwa ya moyo
na kisukari kulinganisha na wanawake wenye makalio madogo, matokeo ya
utafiti wa wanasayansi nchini Uingereza umeonyesha. Wanasayansi wa
nchini Uingereza waliofanya utafiti wao katika chuo kikuu cha Oxford
University

WAKUBWA TU: WAGUNDUE WANAWAKE WANAODANGANYA ETI KAFIKA KILELENI.. UKIONA DALILI HIZI NDIO UJUE UMEMFIKISHA KILELENI...!



Asilimia kubwa ya wanawake huwa na tabia ya kujifanya wamefika kileleni kumbe hata njia ya kuelekea kileleni bado hawajaiona,mara nyingi huwa wanafake kwa kuongeza kelele za kimahaba au wengine huwa wanaongea kabisa,utawasikia "ooh baby am comming" basi hapo mwanaume atajiona dume la mbegu kumbe "hatoshi" na mara nyingine inawapa shida sana wanaume kujua kama ni kweli wamewaridhisha na kuwafikisha wake zao au wanadanganywa.

MAMBO MUHIMU YA KUFANYA BAADA YA KUTENDWA NA UMPENDAE

KATIKA MAISHA YA KIMAPENZI HAKUNA KITU KINACHOUMA KAMA KUSALITIWA, TENA KUSALITIWA KUNAKOUMA ZAIDI NI PALE UNAPOBAINI MPENZI WAKO KAMPA PENZI MTU UNAYEMJUA HALAFU UKIJILINGANISHA WEWE NA HUYO ALIYEPEWA UNASHINDWA KUELEWA KILICHOMSHAWISHI MPENZI WAKO KUMPA PENZI HUYO MTU...

STAILI MPYA YA KUFANYA MAPENZI AMBAYO MWANAMKE ANAKUWA HURU KUZUNGUSHA KIUNO VIZURI.



Mwanamke alale chali(uso,matiti na kila kitu viangalie juu),kisha Mwanaume apige magoti mbele yake,baada ya hapo,mwanamke aweke miguu yake kwenye mabega ya mwanaume,unaweza kuweka mto chini ya makalio

MIMI NAMPENDA LAKINI NASHINDWA KUMWAMBIA... NALALA NA MAUMIVU DAILY!! BOFYA HAPA


Ukiona tabia kama hizi kutoka kwa mwanamke ambaye upo karibu nae sana mwanaume unapaswa kufahamu kwa huyo lazima anakupenda ila anaogopa kukuambia

ZIFUATAZO NI SIFA KUU TANO ZA MWANAMKE AMBAZO MWANAUME KAMILI ANAPENDA KUZIKUTA KWA MWENZA WAKE.



1. Mwanamke anapaswa kuwa na maisha yake na sio maisha ya kuiga. Wapowanawake ambao hupenda kuiga kile kinachofanywa na wanawake wenzake na kudhani hivyo ndivyo anavyopaswa kuwa. mwanamke mwenye tabia hiyo huwa hana mvuto kwa mwanaume kwani atakuwa ni mwana mke fake.

SABABU 10 ZINAZOWEZA KUSABABISHA MAPENZI KUPUNGUA/KUISHA

Mapenzi ni kitu Fulani tofauti sana kwenye hii dunia na hata nje ya hii sayari. Mapenzi kwa kiasi kikubwa sana yanasababisha hata mambo mengine kwenye hii dunia yaende sawa au yaende tofauti hata kama hayahusiani na mahusiano ya mapenzi. Vifo vingi hutokana na mapenzi, kuna magonjwa watu wanaumwa kisa mapenzi, kuna mambo watu wanayafanya si ya kawaida kisa mapenzi.





Ukiachilia mbali PESA, Mapenzi huwa yana nafasi kubwa sana kwenye kitu chochote ndani yahii dunia tunayoishi. Si masikini wala si tajiri, wote kwa pamoja wanahitaji mapenzi kutoka kwa wanaowapenda ili dunia iweze kwenda sawa kwa upande wao. Na ndio sababu hata mimi hapa ninaandika kuhusu mapenzi kwa sababu yananigusa hata mimi na hata wewe unayesoma hapa sasa.





Ukipata mpenzi anayekuelewa na kukupenda basi hata dunia iwe ya tabu vipi kwako utaiona inazunguka kama kawaida na maisha yatasonga mbele kwako kwa raha mustarehe, na hata matatizo mengine makubwa kwako huwa madogo kwa sababu tu unapenda na kupendwa kwa dhati.





Lakini ukiumizwa kwenye mapenzi au kutojaliwa kama wewe unavyojali basi hata dunia iwe na raha gani kwako utaiona chungu na hata raha ya maisha hutakuwa nayo hata kama una hela kiasi gani na hata kama una cheo kikubwa kama mfalme au hata rais. Wengine hufikia hatu ya kuteseka tu bila kuondoka kwenye mahusiano kwa kuogopa kuumizwa tena huko waendapo na wengine huondoka baadae sana wakiwa tayari wameshachelewa.





Kuna Sababu Nyingi Sana zinazoweza kusababisha mapenzi kupungua kwenye mahusiano yenu na wakati mwingine hata kusababisha kuachana. Mojawapo kati ya sababu hizo ni pamoja na hizi zifuatazo;-


1. UONGO.
Hakuna kitu kibaya kama uongo kwenye mapenzi, uongo wa aina yoyote ile si mzuri kwa wanaopendana kwa dhati kwa sababu huweza kupunguza mapenzi na uaminifu kwa kiasi kikubwa sana miongoni mwa wanaopendana hasa kama mmojawapo akigundua kuwa mwenzi wake ni muongo/anamdanganya.







Kuna vitu vingine hata kudanganyana haileti maana wala haina tija kwa hiyo kuwa mkweli kwa mpenzi wako kwa lolote lile ni jambo jema sana kuliko kuwa unamdanganya kila siku hadi aje kugundua unamdanganya itakuwa matatizo na unaweza kusababisha kuachana.

KWANINI PENZI LA MBALI LINANOGA KULIKO PENZI LA KARIBU

Wadau nimeona niwashirikishe hili jambo ili wale wataalam wa malavidav watupe utaalamu wao
kwanini Penzi la Mbali huwa linanöga kuliko penzi la karibu nikiwa na maana kwamba;

Vitu Vinavyofanya Wadada wa Kibongo Wapende Wanaume wa Kizungu.


Kuna dada leo nilikuwa naongea naye ananiambia yeye anatamani sana aolewe na mzungu kwani ameshaona mambo yafuatayo ambayo a waname wengi wa kibongo hawana,

HAYA NDIO MAPENZI BORA

Nguli wa fasihi Tanzania alishawahi kuongelea mapenzi bora katika kitabu chake kiitwacho Mapenzi bora.

Nguli huyu SHABAN ROBERT alihimiza sana swala la mapenzi bora hii ni kwa sababu mapenzi bora huleta afya, mapenzi bora huleta amani ushilikiano na upendo,mapenzi bora hujenga familia bora mno, mapenzi bora pia huwa kinga ya magojwa, na mapenzi bora ni dawa na tiba.

NGOJA NIWAAMBIE KUHUSU UTAMU WA STYLE YA KIFO CHA MENDE.


Sawa sikatai kwamba siku hizi tunaenda na wakati,tunakuwa wabunifu ili kufanya tukio zima la kufanya mapenzi linoge.Mikao ya hapa na pale..style za kila aina kama vilema vileee mmh hii yote ni kuleta mzuka katika mapenzi lakini nakupa sababu moja ya msingi ambayo inakubidi uendelee kutumia style hii (KIFO CHA MENDE)1.Kwanza stlye hii utaijua maana yake kama unafanya na mpenzi wako wa dhati kabisa na si mtu tu ambae umeamua kufanya nae tendo la ngono.

CHUMBANI ZAIDI: KWANINI WAJUZI WA MAMBO NDIO WANAOCHEMKA NA KUMWAGWA KATIKA MAPENZI

Kwenye suala la kuachika/acha/achwa
haliegemei sana kwenye kuyajua mambo
kitandani, kwani Ndoa au Mahusiano sio
Ngono pekee.

MAKALIO MAKUBWA KUNA VINGI NDANI YAKE...........SHUKA NAYO

Uchunguzi uliofanywa nchini Uingereza umeendelea kulipandisha chati umbo la kibantu, kwa kusema kwamba, kuwa na unene zaidi eneo la mapajani, katika makalio na katika mahips ni vizuri kiafya, na humzuia mtu asipate matatizo ya kiafya.

TWENDE CHUMBANI!!..RAHA YA KUPEANA URODA KUJIANDAA NA SIO CHAPU CHAPU KAMA KUKU..............SHUKA NAYO

Mfikishe mshindo mwanamke
Kama upo kwenye uhusiano wa mapenzi na mwanamke ambaye ana matatizo ya kutofika kileleni au hajawahi kufika mshindo na kuishia kusikia kwa mashoga zake kuwa mapenzi matamu, bila shaka akikueleza hili kabla ya majambozi mtaishia wote kuchanganyikiwa kisaikolojia na hatimaye gemu lenu likawahalina majambozi yaani mtacheza chini ya kiwangoi kuytokana na hofu kutawala.

WADADA TU 18+ JINSI YA KUSAFISHA UKE


Awali nilikuwa nikidhani kuwa kila mwanamke anapaswa na anafahamu jinsi ya kujisafisha ndani ya uke
mara tu baada ya kuondolea bikira (kuanza mahusiano ya kimapenzi na hatimae ngono), lakini nimekuja kugundua ukweli kwamba wanawake wengi hawajui uke unasafishwa vipi?

WAJUA UKIMFANYIA HAYA MPENZI WAKO HATOKUSAHAU KAMWE...........SHUKA NAYO


Habari yako ndugu msomaji?  Natumaini u mzima na mwenye afya njema.

Je, wivu katika mapenzi unaleta maana?

Assalam Alaikum! Ni furaha yangu kwa
mara nyingine tena kukutana nanyi
wapendwa wasomaji wa safu yetu hii ya
uwanja wa mapenzi. Tumshukuru Muumba
wetu kwa kutujaalia uhai na afya njema,
lakini zaidi ya hapo tumshukuru pia kwa
kutuumbia kitu mapenzi au sio?

UFANYE NINI UNAPOVUTIWA NA MPENZI MWENGINE...HII HAPA MBINU MPYA MBONA KIULAINI UNANG'OA MZIGO.........SHUKA NAYO


Wapo watu ambao wameoa au wana wapenzi walioahidiana kwa mambo mengi, lakini wamekuwa wakikabiliwa na tatizo la kuvutwa kimahaba na watu wengine. Hali hii huwatokea wawapo masomoni, kazini, kwenye biashara,mbali au pengine hata karibu na wenza wao wa zamani.

MWANAMKE TAKO;KAMA HUNA KAA PEMBENI..!! ONA TAMU HIZI HAPA.

siku hizi dada zetu wamekua kwenye
wakati mgumu pale ambapo mwenye
umbo kubwa nyuma ndo anaonekana
mwenye mvuto na mwenye thamani zaidi
kuliko wengine.

HIZI NDIZO SABABU ZA KUKAUKA KWA UKE WA MWANAMKE WAKATI WA KUFANYA MAPENZI.



Swala la kukauka kwa uke mara baada ya mwanake kufika kileleni ni la kwaida kwa wanawake wengi na huwa na sababu mbali mbali ambazo mimi nitakutajia kwa kifupi tu kamaifuatavyo:-