Showing posts with label Habari. Show all posts
Showing posts with label Habari. Show all posts

Matokeo Kidato cha Nne 2014

Kupata Matokeo Haya,

Bofya hapa

Jiridhishe kwa kutembelea NECTA

Siku hizi hakuna Divisions, na tafsiri ya GPA ni hii hapa kwenye jedwali, Distinction ndio kama Division I ukipenda.

http://www.necta.go.tz/files/utaratibu_wa_kutunuku.pdf

GPA
DISTINCTION MERIT CREDIT PASS FAIL
3.6 - 5.0 2.6 - 3.5 1.6 - 2.5 0.3 - 1.5 0.0 - 0.2

Qualifying Test (QT): Tembelea HAPA


UTARATIBU WA KUTUNUKU MATOKEO YA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE NA CHA SITA KWA
KUTUMIA MFUMO WA GPA


1. Mfumo wa Wastani wa Pointi (Grade Point Average - GPA)

Huonesha wastani wa pointi alizopata mtahiniwa katika masomo aliyofaulu katika mtihani wake.
GPA hutokana na masomo saba (07) aliyofaulu vizuri zaidi mtahiniwa katika Mtihani wa Kidato cha Nne na masomo matatu (3) ya tahasusi katika Mtihani wa Kidato cha Sita. Mtahiniwa aliyefanya masomo pungufu ya 07 kwa CSEE au pungufu ya 03 kwa ACSEE, atafaulu katika kiwango cha “Pass” endapo atapata angalau Gredi D katika masomo mawili au gredi C, B, B+ au A katika somo moja.

Uzito wa Gredi A= 5, B+ = 4, B = 3, C = 2, D = 1, E = 0.5 na F = 0.

Utaanza kutumika kupanga madaraja ya ufaulu katika Mtihani wa Kidato cha Nne (CSEE) 2014 na Kidato cha Sita (ACSEE) 2015.

2. Ukokotoaji wa GPA ya Mtahiniwa
Hufanyika kwa kuchukua jumla ya uzito wa gredi katika masomo saba (07) aliofanya vizuri kwa Mtihani wa Kidato cha Nne na matatu (3) ya tahasusi kwa Mtihani wa Kidato cha Sita na kugawanya kwa idadi ya masomo. Ukokotoaji huo huzingatia kanuni ifuatayo:

GPA =
Jumla ya Uzito wa gredi za masomo
------------------------------------------------
Idadi ya Masomo

Masomo yatakayotumika katika ukokotoaji wa GPA ya mtahiniwa ni yale ambayo amefaulu; yaani amepata Gredi A, B+, B, C au D.

3. Muundo wa Madaraja Kwa Kutumia Mfumo wa GPA
Katika mfumo wa Wastani wa Pointi (GPA) kutakuwa na madaraja manne ambayo ni Distinction, Merit, Credit na Pass.

SIMULIZI: JOHNSON NA MARIA.............SEHEMU YA KUMI NA MOJA

Mtunzi: Cox Dawa Yao
Ilipoishia Maria alimpigia Johnson simu akamwambia anataka akalale tena nyumbani kwake Johnson akamgomea akamwambia asije sababu wazazi wake wanaweza wakarudi muda wowote
Endelea

SIMULIZI: SITASAHAU NILIVYOOPOA CHANGUDOA JINI......................SEHEMU YA TISA

Mtunzi: Cox Dawa Yao

Ilipoishia
Nilikuwa naongea na yule mdada kwa wasiwasi sana nikajua kuna kitu anakitaka kutoka kwangu sikuwa na imani naye kabisa
Endelea

KESI ZA MAHABUSU WALIOVUA NGUO GEITA ZAANZA KUSIKILIZWA


IKIWA takribani  mwezi mmoja baada ya Mahabusu wanane wa gereza la wilaya ya  Geita mkoani Geita kuvua nguo na kubaki utupu katika mahakama ya Mwanzo ya Nyankumbu kwa madai ya kucheleweshwa kesi zao huku wakitaka mamlaka husika ikiwa mwanasheria wa serikali ,jaji na mkuu wa mkoa wawasikilize madai yao hatimaye kesi zao zimeanza kusikilizwa jana katika mahakama ya wilaya.Mbele ya Hakimu wa mahakama ya wilaya Kario Mrisho ,wakili wa serikali Erasto Anosisye alidai kuwa kati ya mahabusu wanana,wanne wana kesi ya mada na wanne wana kesi ya kuvunja na kuiba ambayo imeanza kusikilizwa huku wa kesi ya mada inasubiri mahakama kuu kwa vile mahakama ya wilaya haina uwezo wa kusikiliza kesi hizo.

SIMULIZI: JOHNSON NA MARIA................SEHEMU YA KUMI

Mtunzi: Cox Dawa Yao
Ilipoishia
Johnson aliwahi asubuhi kama kawaida yake akaanza kujiandaa kwa ajili ya kwenda gengeni kwake akamwambia Maria awahi kwenda kwao kabla wazazi wake hawajarudi

Endelea

SIMULIZI: SITASAHAU NILIVYOOPOA CHANGUDOA JINI................SEHEMU YA NANE

Mtunzi: Cox Dawa Yao
Ilipoishia
Niliendelea kushangaa wadada walivyovaa vinguo vya kuonyesha mapaja na maziwa yao nikasema kweli Dar se salaam imechafuka
Endelea

HII NDIO TATHMINI YA AJALI ZA BARABARANI ZILIZOTOKEA KUANZIA January MPAKA June 2014



ajaliKamanda wa Polisi Kikosi cha usalama Barabarani Dcp Mohameed Mpinga katoa tathmini ya ajali za Barabarani kuanzia Mwezi Januaary mpaka June ikiwa ni kipindi cha nusu mwaka na hivi ndivyo hali ilivyo.

HILI NDO KUNDI LA WANAWAKE WAPIGANAJI WAASI NCHINI CONGO ,LINAITWA MS Kalashnikov


Colonel Fanette Umuraza is pictured at M23 headquarters in northern Kivu. A 32-year-old with a university degree in political science, she vehemently champions the ideology of M23's military chief Sultani Makenga, having worked her way up to serve as his right-hand woman.

ANGALIA MAJINA YA WALIMU WANAOTAKIWA KUJIUNGA NA JKT HAYA HAPA

Hatimaye jeshi la kujenga taifa limetangaza majina ya walimu ambao wanatakiwa kupitia jkt kwa ajili ya mafunzo MAALUM kama ilivyo kwa kidato cha sita,yajulikanayo kama mafunzo kwa  mujibu wa sheria.

SIMULIZI: JOHNSON NA MARIA.............SEHEMU YA TISA

Mtunzi: Cox Dawa Yao
Ilipoishia
Johnson alirudi kazini saa 4 usiku akakuta anapowekaga funguo yake haipo alijiuliza maswali mengi sana aliposukuma mlango wake akakuta umefungwa kwa ndani akazidi kuchanganyikiwa alianza kugonga kwa hasira akasikia sauti ya Maria ndani inamkaribisha

Endelea

SIMULIZI: SITASAHAU NILIVYOOPOA CHANGUDOA JINI............SEHEMU YA SABA

Mtunzi: Cox Dawa Yao
Ilipoishia
Nilishangaa sana kuona yule dada anaitaka namba yangu nilisita kumpa sababu sikujua lengo lake ni nini
Endelea

BASI LA ABIRIA LASHAMBULIWA, 7 WAMEPOTEZA MAISHA

Watu wenye silaha wameua watu saba wakiwemo maafisa wanne wa polisi baada ya kushambulia basi la abiria katika kaunti ya Lamu kwenye mwambao wa Kenya.
Watu hao walishambulia basi hilo kwa risasi karibu na mji wa Witu, takriban kilomita 50 kutoka Lamu.

NDEGE NYINGINE YATUA KATIKATI YA BARABARA NCHINI UGANDA

Ndege ndogo ikiwa imebeba wafanyakazi wa jeshi la Marekani imetua kwa dhalura katikati ya barabara nchini Uganda baada ya kuishiwa mafuta.
Philip Mukasa msemaji wa jeshi la polisi nchini Uganda

ALIYEJIKATA UUME NA KULA UBONGO WA MTOTO





MAUAJI ya kutisha yanaendelea kuuandama mkoa wa Kilimanjaro, baada ya kijana Laurance Flavian (20), mkazi wa Marangu Mashariki kumuua Mwanafunzi wa darasa la Pili katika Shule ya Msingi Marangu Hills, Francis Fortunatus (9), kwa kumkata mapanga sehemu za kichwani na kula ubongo wake, kisha na yeye kujikata uume wake na kusababisha mauaji hayo. 

Akizungumza na FICHUO Kamanda wa polisi mkoani humo, Robert Boaz, amesema tukio hilo limetokea leo Ijumaa Julai 18, 2014 saa7:15 asubuhi katika eneo la Marangu Pentekoste katika Wilaya ya Moshi mkoani humo. 

MBUNGE JOSEPH MBILINYI "SUGU" AFANYA ZIARA MTAA WA TONYA - ITUHA, JIMBONI MBEYA MJINI

 Vijana wa Mtaa wa Tonya - Ituha walimpokea Mbunge wao kuelekea Tonya

Jinsi mtoto wa miaka sita alivyobakwa shuleni nchini India.




Polisi Kusini mwa India wameandikisha kesi ya ubakaji ambapo inadaiwa kuwa mtoto wa shule mwenye umri wa miaka 6 alibakwa na wafanyakazi wawili wa shule moja maarufu mjini Bangaloer.

Kampuni ya Microsoft inavyojiandaa kupunguza ajira elfu 18 za wafanyakazi wake.


Kampuni ya kiteknolojia ya Microsoft inatarajia kupunguza takribani ajira elfu 18 za wafanyakazi wake na kuweka rekodi ya kupunguza watu wengi zaidi katika historia ya kampuni hiyo kwa miaka 39.

SIMULIZI: JOHNSON NA MARIA..........SEHEMU YA NANE

Mtunzi: Cox Dawa Yao
Ilipoishia
Johnson alimpiga marufuku Maria kukanyaga pale Gengeni kwake Maria akawa analia hakukubaliana na lile swala Hadi mzee Joseph jirani wa Johnon pale Gengeni alivyoona kama hamna maelewano kati ya Johnson na Maria akaenda kuwauliza kinachoendelea alivyoelezewa akaanza kumpa somo Johnson
Endelea

SIMULIZI: SITASAHAU NILIVYOOPOA CHANGUDOA JINI...........SEHEMU YA SITA

Mtunzi: Cox Dawa Yao
Ilipoishia
Nikajisemea Afadhali nilimpigia braza simu ningekurupuka tu kutoa hela za dukani kununua ile simu ingekula kwangu
Endelea

MBUNGE MACHALI ATUHUMIWA KUMPIGA BABA YAKE MZAZI

Moses Machali Kasulu MjiniNa Mwandishi wetu,Kigoma
MBUNGE wa Jimbo la Kasulu mjini Moses Machali anatuhumiwa kumtwanga baba yake mzazi  Mzee Machali  sambamba na kumfukuza nyumbani kwake,kutokana na kitendo chake cha kulewa kupindukia ambayo imekuwa adha kwa mbunge huyo na kupelekea mgogoro mkubwa baina yake na mzazi  huyo .