Mmoja kati ya wanasayansi maarufu
hapa duniani amegundua kuwa watu wanene wanapata raha zaidi katika tendo
la ndoa ukilinganisha na wtu wembamba. Mwanasayansi huyo aitwaye Dr.
James Watson ambaye amekwishawahi kushinda tuzo za NOBEL kwa ubingwa
wake ulipelekea ugunduzi wa muundo wa DNA,anaamini kabisa kuwa watu
wanene wana uwezo mkubwa wa kufurahia tendo la ndoa kuliko wembemba.
Watu wanene wanazo sababu za
kibiology zinazowafanya waweze kupata raha zaidi wafanayapo tendo la
ndoa. Ktk uchunguzi wake wa kemikali mbalimbali zilizomo kwenye wa
mwanadamu Dr. Watson ameona kuwa mafuta ya mwili yanaongeza kemikali
iitwayo ENDORPHIN inayosababisha mtu ajisike raha. Kwa watu wembamba
aligundua kuwa upungufu wa mafuta mwilini ulisbabisha ubongo usiapate
ENDORPHINS za kutosha hivyo kupelekea kuwepo na upungufu wa raha katika
tendo la ndoa. Watu wanaosema kuwa kufanya tendo la ndoa na watu wanene
hakuna raha na ni kazi ngumu ni waongo kabisa. Ukweli ni kwamba raha ya
tendo la ndoa haipungui utamu wake kutokana na unene wa mtu, bali
hupungua kutokana na ukosefu wa ufundi na hofu zisizo na msingi wowote.
Hofu ya kushindwa kumridhisha mwenzio siku zote lazima itakuzuia usipate
raha kamili katika jambo lolote lile.
.
Ukosefu wa ufundi wa kufanya tendo la
ndoa huleta hofu,na hata kiasi kidogo tu cha hofu huweza kusababisha
mtu kushindwa kufanya tendo la ndoa kwa ufanisi na hivyo kushindwa
kupata raha kamili. Dr. Helen singer ambaye ni mwanasaikolojia maarufu
anasema" kama mwanamume huyu atakuwa hajui umuhimu wa kinembe kilicho
sehemu ya juu ya uke akafanya tendo la ndoa na mwanamke mnene atashindwa
kabisa kumridhisha mwanamke huyo. Mwanaume wa aina hiyo akishasimamisha
uume wake atauingiza kwa mwanamke na harahara atapizz(kumwanga shahawa)
bila kufikiria kuwa mwanamke huyo atakuwa bado hajafika kileleni".
Wanawake wengi wanene wameogopa kuanzisha mahusiano na wanaume kwa hofi
ya kudharauliwa na hata wakifanikiwa kuanzisha uhusiano wanakuwa na
wasiwasi kuwa uhenda wataachwa kwa sababu ya maumbile yao makubwa.
Utawaone wanawake wanene wakivaa mavazi yasiyoleta
mvuto kwa wanaume kwa sababu imani
kuwa kwa sababu ya unene wao hawapendeki. Wanawake wengine wapatapo
wapenzi wakti wa kufanya mapenzi hupendelea kufanya mapenzi baada ya taa
kuzimwa,wanaona giza litaficha ubaya wa unene wao, jambo ambalo huondoa
kujiamini na kupunguza mvuto kwa mwanaume yeyote.
Wanawake wengi wanene wanajiona kuwa
hawathaminiki kwa wanaume kutokana na unene wao, hali hiyo usababisha
kuharibu mvuto wao na wengi huachwa sio kwa sababu ya unene wao,bali kwa
sababu ya kukosa uchangamfu utokanao na hali ya kujiamni. Mtu akiwa na
historia ya kuachika anajenga hofu ya kuchika katika uhusiano wowote
ule, na hofu humfanya apoteze matumaini. Hali ya kutokuwa na matumaini
humpunguzia mguvu ya kujiboresha yeye mwenyewe na kuboresha uhusiano
anaoanzisha. Iwapo wanawake wanene hawaamini kuwa wao pia wanastahili
mambo mazuri zaidi, basi watabaki katika tundu lenye huzuni na msikitiko
tele.
0 comments:
Post a Comment