

Kroos alionyesha vita vyake kidogo mbele ya malefu ya mashabiki Uwanja wa Santiago Bernabeu baada ya kukabidhiwa jezi namba nane

Mjerumani huyo akipungia mashabiki Santiago Bernabeu

Mashabiki wamempokea kwa furaha mshindi huyo wa Kombe la Dunia

Toni Kroos (kushoto) akisalimiana na kocha wa Real Madrid, Carlo Ancelotti

Hapa anafanyiwa vipimo vya afya
0 comments:
Post a Comment