Lori la
Mizigo likiwa limepaki katikati ya kilabu hicho cha pombe ambacho
kilisambalatishwa chote na chini ni mabaki ya kilabu hicho.
Tunaomba Radhi kwa Picha
Tunaomba Radhi kwa Picha
Miili
minne ya Marehemu ambao walifariki papo hapo baada ya Lori hilo kugonga
kilabu hicho ikiwa imehifadhiwa katika chumba cha kuhifadhia maiti
Hospitali ya Rufaa ya Iringa.
Mashuhuda wakiwa wanashuhudia ajali hiyo baada ya kutokea
Baadhi ya wananchi wa Eneo la Isimila wakiwa wameongezeka kushuhudia ajali hiyo mbaya iliyo uwa wata watano papo hapo.
Hivi
ndivyo Lori hilo la Mizigo lilivyo umia vibaya baada ya kugonga kirabu
hicho na kukisambalatisha usiku wa kuamkia jana na kusababisha vifo vya
watu watano papo hapo.
Baadhi ya Ndugu wa Marehemu wakipata taarifa za Ajali hiyo katika eneo la tukio isimila
Ndugu wa Marehemu wakiwa katika Hospitali ya Rufaa ya Iringa kwa ajili ya kuwaona Marehem hao.
Picha zote na Iringa Yetu Blog
0 comments:
Post a Comment