MAHABA:KUKOJOA KWA MWANAMKE

Kama ilivyo kwenye kufika kilele sio wanawake wote wamejaaliwa kufikia
Mshindo hali kadhalika siowanawake wote wanaofika kileleni na kumwaga
kama bomba. Sasa kamaunataka kujua kama na wewe unauwezo wa kukojoa
kwa kusikia utamu wa ngono na kumwaga ka' bomba mumeo atahitaji
kufanya kazi ya ziada kufanikisha hilo.Kuhisi kutaka kukojoa-Sehemu
kubwa ya wachangiaji wamefananisha au kulinganisha hisia za kutaka
kufika kileleni na zile za kuhisi kutaka kukojoa. Hivi ni vitu viwili
tofauti kabisa lakini kama wewe ni mwanamke ambae hujawahi ufika
kileleni na hujui hisia za utamu wa ngono ni wazi kuwa utadhani hisia
hizo za kutaka kukojoa (mkojo wa kawaida yaani) ndio kufika kileleni
kwenyewe lakini siooo.Baadhi ya wanwake huwa wanahisi hisia hizo za
kutaka kukojoa mara tu uume unapoingia na hapo ndio huwa wanadhani
kuwa huo ndioutamu wa Ngono unaopatikana kwa kusuguliwa kipele G,
vilevile wapo ambao wanapata hisia hizo tendo likiendelea kwamuda
mrefu na kudhania sasa wanafikia mshindo na kuachi makojo (kwa
kawaida).....hufurahia wakihisi "nafuu" lakini unapofika kileleni au
kukojoa kutokana na utamu wa ngono husikii "relief" (nafuu) kama ile
ya ku-empty bladder, unasikia utamu wa hali ya juu yaani unaweza
kutamani mchezo uendee tena na tena na wakati huo huo utahisi uke wako
ukimwenyua mwenyua yaanikama unafunga na kuachia(kama unavyokaza
misuli ya uke) which huwezi kufanya hivyo unapokojoa.....Kama umewahi
kuchezewa kisimi kwa ulimi na mumeo au hata kujichua kunahisia fulani
za utamu unazipata sasa hisia hizo za utamu unazaozipata pale kisimini
ndio ambazo unapaswa kuzipata unapoingiliwa ukeni na mumeo lakini
itakuwa tamu zaidi kama vile mara tatu ya utamu wa kisimini.Utamu huu
wa ngono hauelezeki na wala huwezi kuufananisha unless unauzoefu na
utamu huo via kisimi ndio utaelewa jinsi ulivyo.....kuhisi kutaka
kukojoa na hatimae kuachia mkojo sio kukojoa kwa maana ya kufika
kileleni, vinginevyo wanawake wasingehitaji wanaume wa kuwatia na
badalayake wangekuwa wakinywa maji mengi ili kubanwa mkojo na kukojoa
ili kuhisi utamu wa ngono.Unajua wakati mwingine ngono ya
kuingiliana(uume ndani ya uke) huwa ina-irritates the bladder(kifuko
cha mkojo) na kukufanya wewe uhisi kutaka kukojoa kila unapofanya
ngono nitakushauri ukamuona"Gynecologist" ili kuhakikisha kuwa huna
tatizo la kitibabu ambalo linaweza kabisa kuwa Saratani au inawezekana
una tatizo linaitwa Orgasmic dysfunction kwamba hujawahi kupata Kilele
kwa namna yeyote ile (kama nilivyosema awali) hivyo basi upata hisia
za kutaka kukojoa na unaweza kufurahia hisia hizo ukidhani ndio
unafika kileleni lakini sio kilele bali kibofu chako kimejaa au
kimesumbuliwa na kusababisha hisia hizo.Kwa wanaume huenda wakawa
wanahisi kukojoa kama wanavyokojoa mkojo wa kawaida kwani inasemekana
(nitahakiki hili) kuwa manii/shahawa zinapita kwenye mrija ule ule
ambao mkojo wa kawaida unapita hivyo kwao kuhisi kukojoa kama kukojoa
as ku-empty kifuko cha mkojo haina maana na wanawake wako hivyo, kwani
kitundu cha mkojo kiko kwa nje katikati ya uke na kisimi(chini ya
kisimi).Hii huwafanya wanaume wengi kudhania kuwa hisia za utamu wa
kilele ni kama kutaka kukojoa lakini ukweli (kutokana na uzoefu) ni
kuwa utamu wa kutombwa hauelezeki na haufananishiki na kitu chochote
sio asali wala sukari.....ila utaelewa kama unajua utamu wa kisimu
alafu ongeza mara 3.....au utamu wa kunyonywa kichwa cha uume kwa
ustadi sasa utamu huo uwe mara 5 ndio utamu wa kilele cha G-spot!
Unaweza kuzimia

0 comments:

Post a Comment