MAPENZI KIZUNGUMKUTI JAMANI: HUYU ANAHITAJI MSAADA WAKO MJUZI WA MAMBO...!TWENZETU HAPA...!




Hongereni kwa mfungo na habari zenu wadau. Jamani nimekua mhanga kwa hii kitu kwa mda mrefu , naomba niweke wazi
kua nilikua mfuasi sana wa hii kitu , kununa nuna bila sababu ya msingi, kosa dogo kwangu kubwa, yaani kuna muda nalianzisha makusudi anabaki anatafakari then naingia chumbani nachekaaaaaaa hadi raha, bt it was those tymes....
Sasa sijui nimemfundisha au ye ndo kawa ticha zaidi yangu, yaani kila baada ya miezi miwili au mitatu mnuno ndani sababu ya msingi haijulikani, bad enaf mnuno unakua hadi cku tatu

0 comments:

Post a Comment