siku hizi dada zetu wamekua kwenye
wakati mgumu pale ambapo mwenye
umbo kubwa nyuma ndo anaonekana
mwenye mvuto na mwenye thamani zaidi
kuliko wengine.
kutokana na hilo imetokea
shida ya wao kuhangaikia vifaa mbali mbali
vya kufanya makalio yao yaonekane
makubwa. kuna dawa za kukuza za
vidonge au sindano, pia kuna nguo zenye
sponge kwa makalio, na kuna vibana
makalio kwa pembeni kama huyu dada
alichokifanya. ukimuona nje ni mdada
mwenye makalio hatari lakini kumbe
kayabana ili yavimbe katikati na kuonekana
makubwa zaidi na
ili watu wavutiwe zaidi.
kina dada wanakazi sana. ndo dunia ya
sasa inavyoenda.
ila kiukweli wengi wanaume wanatamani
sana wanawake wenye makalio makubwa,
lakini kiukweli kabisa hua wanawatamani
na sio kuwapenda, hawa wenye makalio
makubwa hua ni haraka kuwapandisha
nyege wanaume kuliko wale wembamba na
wanaume hua wanafikiria kwenye kushika
shika viuno n
a kuchezea nyama hizo kipindi cha kufanya
ngono. ila kwenye kuoa hua ni nadra sana
kwasababu wengi hufikiria sio yeye tu
atakayekua anamiliki, bali kuna uwezekano
wengine wakawa wanamsaidia mke, hivyo
wengi huoa wa kawaida tu na hawa wenye
makalio huishia kuchezea na wanaume
mpaka wanajikuta wamezeeka.
0 comments:
Post a Comment