NAMNA YA KUJIZUIA KUPIGA BAO MAPEMA NA HIVYO KUMTOSHELEZA MWANAMKE KWAKUMKOJOLESHA YEYE KWANZA

JE,UNA TATIZO LA KUFIKA KILELENI MAPEMA?.Hili ni tatizo linalowasumbua
wanaume wengi hivi sasa,zifuatazo ni sababuna jinsi ya kutatua tatizo
hilo.1: PUNGUZA WASIWASI NA HARAKA YA KUPATA RAHA NA UTAMU.Wanaume
wengine wanakuwa na wasiwasi kuwa wataperfom vizuri au vibaya kiasi
gani,wengine wanakuwa na wasiwasi kuwa watapata raha kiasi gani na
wengine ambao washajijua kuwa huwa wanafika kileleni mapema,wanakuwa
na wasiwasi kuwa watafika kileleni mapema tena.Tatizo hili mara nyingi
linawasumbua wanaume ambao hawana mazoea ya kupeanaraha na utamu mara
kwa mara,au wanaume ambao ndio kwanza wameanza mambo ya kupeana raha
na utamu,kwa sababu wanapata raha ya ziada tofauti na wanaume ambao
wana do mara kwa mara ingawa pia kuna wazoefu ambao wanasumbuliwa na
hili tatizo.JINSI YA KUFANYA.Punguza uoga,wasiwasi na haraka.Kama
uoga,wasiwasi na haraka vinasababishwa na kutopeana raha na utamu mara
kwa mara,basi jaribu kupeana raha na utamu mara kwa mara mpaka akili
yako izoee kitendo cha kupeana raha na utamu na mashine yako izoee
joto la Uke.ila kama wewe ni mzoefu na unasumbuliwa na tatizo hili la
wasiwasi,basi unatakiwa umwone mwanasaikolojia au Daktari kwa sababu
nina uhakika watu hao watakushauri vizuri.Pia jaribu kufanya mazoezi
ya mwili mara kwa mara kwa kuwa yanapunguza uoga na wasiwasi na
yanaongeza kujiamini na pia yanaongeza stamina itakayokusaidia usicum
mapema.2: ACHA KUJICHUA..Wanaume wengi washawahi kujichua baada ya
kubalehe,wengine wanaacha kujichua wakishapata wasichana au wakianza
kuwa watu wazima.Lakini wapo wanaume wengine kujichua kwao imekuwa
kama ulevi wa pombe au madawa ya kulevya.Wanazidisha kiwango cha
kufanya kwa siku na kuacha hawawezi hata kama wanapenda kuacha.Na
kadri wanavyozidi kujichua,ndio misuli ya mashine zao inazidi kulegea
na ndio hapo sasa wanakuja kupata tatizo la kufika kileleni mapema
wakati wa kupeana raha na utamu.JINSI YA KUFANYA.Kama unajichua zaidi
ya mara moja kwa siku au haiwezi kupita siku bila kujichua na
unasumbuliwa na tatizo la kufika kileleni mapema,basi ujue kujichua
ndio tatizo lako unatakiwa uache mara moja,kama hujui jinsi ya kuacha
basi zifuate hatua zifatazo:-*Usikae peke yako kabisa ili kuepuka
kupata hamu ya kujichua bila sababu.*Usikae karibu na vitu
vitakavyokupa tamaa ya kujichua mfano,picha za ngono.*Tafuta kitu
kingine cha kufanya kitakachokuchangamsha mfano,kucheza mpira
n.k*Fanya mazoezi kwa kuwa yanasaidia kuondoa mawazo ya ngono na
kujichua.*Punguza idadi ya kujichua kwa siku kidogo kidogo mpaka uache
kabisa

0 comments:

Post a Comment