Imekua ni shida siku hizi, yani watu
wanataka uwe na mtu wanao mtaka wao,
nilimpenda kijana fulani
kwakweli sikutarajia hata kama ningeweza
kumpa tunda kwa haraka namna ile,
lakini nilijikuta tu sikumoja nafanya hivyo
kwakweli siku lazimishwa na mtu nilivua
mwenyewe na kwakweli sijutiii maamuzi
yangu, ila imekua
shinda kwa marafiki zangu wanasema
vibaya kuhusu mimi kutembea na mpenzi
wangu huyo, kwakweli mi nampenda ndio
mana hata sijutii. Wengine wanadai kuwa
haitachukua muda ataniacha lakini yote
heri tu. MNIACHE
0 comments:
Post a Comment