KIUNGO
Michael Carrick amevunjika kifundo cha mguu na atakuwa nje kwa wiki 10,
kocha mpya wa Manchester United, Louis van Gaal amesema.
Mchezaji
huyo mwenye umri wa miaka 32 aliumia mguu wa kushoto na akafanyiwa
upasuajileo asubuhi na kuna wasiwasi atakuwa nje kwa miezi.
Carrick
ameposti picha katika ukurasa wake wa Instagram akiwa hospitali na
plasta ikiambatana na ujumbe: "Nimekuwa na siku nzuri... imenichaganya
sana lakini mbio za kupambana kuwa fiti zimeanza'.
Michael Carrick akiendeshwa kutoka Carrington jana
0 comments:
Post a Comment