Tunapoamua kufanya jambo sio kwamba tunafuata mkumbo au kulazimishwa
bali ni our choice Kufanya ngono kusiko a.k.a 0713 "MWIKO" katika
jamii nyingi Ulimwenguni sio kwa vile tu inamaanika kuwa ni uchafu na
inamadhara makubwa ya kimwili, kiakili na kiafya bali ni kinyume na
mafundisho ya imani zetu za Dini.
Kinachofanyika chumbani ni uamuzi
wenu ninyi wawili mnaopendana ikiwa tu mtakubaliana na kufanya hivo na
pia ni siri yako wewe na mpenzi wako, kuna wapenzi wengi tunafanya
mambo ya ajabu sana na watu tunaowapenda na tunafurahia na tunazidi
kupendana na kutakana zaidi na zaidi kila siku….lakini mambo hayo ni
"tab0o" ktk jamii kama ilivyo kwa Tigo au Ukware/uziNz!Kuna baadhi ya
watu (wake kwa waume) hujaribu na kisha wanajikuta wanafurahia na
hivyo wanaendelea na kuna wengine hutaka kujua "unajisikiaje" lakini
wanajikuta hawafurahii au mmoja wao hafurahii na hivyo wanaacha na
kutorudia tena tendo hilo la mugongo-mugongo.Pamoja na kuwa watu
kuheshimu miiko ya dinizao, kupinga na kulisema vibaya tendo hili
wachunguzi wa mambo ya Tigo wanadai kuwamwanamke mmoja kati ya wanne
anashiriki ngono ya nyuma (sasa hii sijui ni kuridhisha wapenzi au ni
wao wanafurahia)…….wazoefu watusaidie hapa.Ukweli kuhusu Tigo.- Sio
tendo asilia ktk swala zima la ng0no na mapenzi hivyo kumbuka
unapoamua kugawa tako kuwa na uhakika ndio kitu unataka kukifanya na
sio kukifanya kwa vile "mchumba" kaomba/anataka…..wewe ndio mwenye
maamuzi makuu ya nini unataka kifanyike mwilini mwako.Kama unahisi
unachokwenda kukifanya sio "n*tural*" na hujisikii vema kushiriki
ng0no Tigo basi acha/kataa kufanya hivyo.-Mara mishipa ya Tigo
ikitanuka kutokana na kufanywa huko mara kwa mara huwa haijirudi kama
ilivyo kwenye uke kwa vile haikuumbwa kwa ajili ya shughuli
hiyo.-Wengi tunaamini kuwa kufanywa nyuma ni kwa mashoga tu lakini
kuna wanawake wanafurahia kama ilivyo ngono ya mdomo na baadhi
hujigeuza kama njia mbadala ya kuzuiamimba au kulinda bikira (zaidi ni
ktk jamii ya waarabu).-Ukizoea sana kupigwa nyuma na mishipa ya huko
kutanuka, basi inasemekana kuwa utatatizwa wakati wa kujifungua/kuzaa,
si hivyo tu bali unaweza ukawa na tatizo la kuvuja mkojo kwani
hutoweza kukaza tena misuli yako ukeni ambayo hulegea baada ya
kuzaa.Swala muhimu sio kutisha watu bali kuwaelimisha na kuwaachia wao
wachague mchele upi na pumba zipi. Ukiangalia yale yote yanayokatazwa
au kuitwa miiko ndiyo yanayofanywa zaidi kuliko yale tunayoruhusiwa
kuyazungumzia na kuyatenda.MADHARA MAKUU NI:Mwanamke anayefanyiwa
mchezo huu hupatamatatizo makubwa wakati wa kujifungua ikiwani pamoja
na kutokwa na haja kubwa mfululizowakati akijaribu kumsukuma
mtoto.Tukio hili humsababishia aibu kubwa mwanamke, kiasi cha
kumshushia hadhi yake mbele ya jamii.Umri unaposonga, haja kubwa
hutoka bila kizuizi kutokana na misuli ya sphincter inayobana njia ya
haja kubwa kulegea.Inaweza kusababisha saratani ya eneo hilo 'cancer
of col0n'.Ugonjwa wa UTI, yaani uambukizi kwa njia ya mkojo, huwa
sugu, maana akitokea mwanaume alifanya kitendo hicho kisha akafanya
ngono kama kawaida, bakteria wanaoishi sehemu hiyo wanaingia na kuwa
namadhara makubwa.hasara yake kubwa mwanaume anayekufanyiamchezo huwa
hawezi kukuoa, pia ni rahisi kukutangaza kwa jamaa zake na kuonekana
kituko mbele za watu, kama umeolewa heshima yako hupungua ndani ya
ndoa.Paparaziwetu inakushauri na inapinga kwa nguvu zangu zote swala
la Ng0no kusiko (tigo)ila na heshimu chaguo/uamuzi wako…..wewe ndio
mweye mwili na unafanya vile utakavyo.Ushuri wa bure-Jiheshimu na
thamini mwili wako…..usitoe tako lako kama dawa ya kumfanya mume
asitoke nje au akupende zaidi…..ni aibu mumeo akikuta nyuma jamaa
waliwahi pia.Pia anaweza kumuua mtoto kwa vile kila akimsukuma atoke,
pumzi hukata kutokana na misuli inayofahamika kwa jina la 'sphincter'
kulegea na kusababisha ambane mtoto.
0 comments:
Post a Comment