UNAJUA KWA NINI WANAWAKE WANAPENDA WANAUME WENYE MISULI NA NANILIU KUUBWA........SHUKA NAYO

Kuna mdahalo mkubwa ambao una majibu tofauti kuhusu wanaume wenye
vifua vikubwa kama kweli wanapendwa sana na wanawake au la
Unaweza ukakutana na mwanadada akimsifia mkaka kwamba anakifua kizuri
akimaanisha kwamba ana kifua kipana ambacho kinajengwa kwa
kufanyamazoezi maalum, aina hii ya mwanamke bila shaka inaonesha
kuwahupendelea zaidi wanaume wa aina hii na kwa hakika kama mume wake
auboyfriend wake atakuwa na kakifua kadogo hatapenda sana na wala
hataridhishwa

0 comments:

Post a Comment