Rapper,
producer na mwanzilishi wa Beats Electronics, Dr. Dre ni miongoni mwa
mashabiki wa timu ya taifa ya Ujerumani iliyotwaa kombe la FIFA la dunia
jana (July 13) nchini Brazil.Kutokana na ushindi huo wa Ujerumani Dre
ameamua kuipongeza timu hiyo kwa zawadi special ya headphones za dhahabu
(special edition 24 carat gold dipped Beats Pro headphones). Wachezaji
wote 23 watapata headphones kila mmoja pamoja na meneja wao wa 24.
Naomi
Campbell ndiye model aliyehusika katika upigaji picha wa kampeni hiyo ya
‘Golden Project’ ya Beats by Dre. Campbell anaonekana katika picha
akiwa amevalia nguo ya rangi ya dhahabu, akiwa ameshika mpira wa dhahabu
huku amevaa headphone ya dhahabu.
Akizungumzia furaha yake ya kushiriki katika dili hilo la Beats Naomi amesema:
“Working
on the ‘Golden’ project with Beats by Dr. Dre was so much fun. The
shoot was loud and energetic…I even got to practice my football skills!
This was the first time I’ve had the chance to work with the legendary
Rankin, so it was a dream shoot. The ‘Golden’ project is the perfect way
to celebrate the German victory and I’m glad to be a part of this
campaign.”
Beats By Dre nao pia kupitia akaunti yao ya Instagram wameandika:
“A golden finish @gotzemario. Respect to #BastianSchweinsteiger. @IAmNaomiCampbell with your Custom Celebration Gold Pros. #GER”
0 comments:
Post a Comment