Msanii anayefanya vizuri katika tasnia ya
filamu nchini, Alice Bagenzi 'Rayuu'
amesema amekuwa akisikia maneno ya
chinichini kwamba ameenda
Sumbawanga Kuroga....
Tetesi hizo za Rayuu kwamba ameenda
Sumbawanga kuroga zimeanza kuvuma
baada ya watu kuhoji kuwa jina lake
linaonyesha yeye ni Mhaya, lakini
chakushangaza amekuwa akienda
Sumbawanga mara kwa mara....
Mpekuzi iliamua kumtafuta mrembo
huyo ambaye amekuwa akiandamwa na
kashfa ya kutembea na waume za watu
na kusambaza picha za utupu ili kujua
ukweli wa mambo ambapo msanii huyo
alifunguka kuwa:
"Nawashangaa sana watu wanaosema
nimekuja Sumbawanga kuroga, sio kweli,
huku nimekuja kusalimia.Naipenda
familia yangu ndo maana nimeitembelea
na ntakaa kwa muda huku kwani huwa
nai miss sana nikiwa Dar"
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment