Ukosefu ama upungufu wa nguvu za kiume
ni ile hali ya mwanaume kutokuwa na
uwezo wa kukamilisha tendo la ndoa kwa
ufasaha.
Tatizo hili linawakabili mamilioni ya
wanaume duniani na limekuwa na athari
nyingi kama vile kuvunjika kwa mahusiano
na hata ndoa.
Mwanaume mwenye tatizo la ukosefu ama
upungufu wa nguvu za kiume anakuwa
hana uwezo wa kumtosheleza mwanamke
kwenye tendo la ndoa.
DALILI ZA UKOSEFU WA NGUVU ZA KIUME
Mwanaume anayekabiliwa na tatizo la
ukosefu ama upungufu wa nguvu za kiume
huonyesha dalili zifuatazo:-
1. Kutokuwa na uwezo wa kusimamisha
uume wake barabara. Kwa kawaida uume
wa mwanaume aliyekamilika (rijali )
unaposimama, hutakiwa kuwa imara kama
msumari, lakini kwa mwanaume anaye
kabiliwa na tatizo hili uume wake hata
ukisimama hubakia kuwa lege lege na
huweza kusinyaa wakati wowote. Tatizo
hili ni matokeo ya kulegea kwa mishipa ya
uume. Mishipa ya uume ndio inayo ufanya
uume usimame barabara.
Mishipa hii inapokuwa imelegea, uume
hauwezi kusimama barabara hata iweje.
Kulegea kwa mishipa ya kiume
kunasababishwa na upigaji wa punyeto
kwa muda mrefu. Mtu anaye piga punyeto
anakuwa anaiminya mishipa inayo
sababisha kusimama kwa uume, baada ya
muda fulani, mishipa hiyo huishiwa nguvu
na kulegea na hivyo linapo kuja suala la
kusimamisha uume, mwanaume huyu
anakuwa hana uwezo tena wa
kusimamisha uume wake.
Vilevile matumizi ya madawa makali
(hususani madawa ya kizungu) ya
kuongeza nguvu za kiume, husababisha
mishipa ya uume kulegea. Hii ni kwa
sababu madawa haya hui-overdose
mishipa hiyo na kuilazimisha kufanya kazi
zaidi ya kiwango chake.
Matumizi haya yanapokuwa ya muda mrefu
humfanya muhusika kuwa tegemezi na pia
hufanya mishipa ya uume wa muhusika
kulegea na kukosa nguvu.
2. Kukosa hamu ya tendo la ndoa: Hapa
mwanaume anakuwa hana uwezo wa
kutamani kufanya tendo la ndoa hata
anapokuwa faragha na mke wake. Tatizo
hili kwa kiasi kikubwa husababishwa na
msongo wa mawazo.
3. Kutokuwa na uwezo wa kurudia tendo
la ndoa zaidi ya mara moja. Hapa
mwanaume akishakamilisha mshindo
mmoja wa tendo la ndoa basi anakuwa
hana tena uwezo wa kurudia mshindo
mwingine. Hali hii husababishwa na
kutokuwa na msukumo wa damu wa
kutosha kwenye mishipa ya kwenye uume.
4. Kufika kileleni mapema
5. Kutokuwa na uwezo wa kusimamisha
kabisa. Hali hii hutokea pindi tatizo la
kutokuwepo kwa msukumo wa damu wa
kutosha kwenye mishipa ya uume,
linapokuwa limekomaa. Na wakati
mwingine, hali hii hutokea pindi vyanzo
zaidi ya kimoja vya tatizo la kiume vinapo
kuwa vimejitokeza kwa mtu mmoja.
6. Uume kusinyaa na kurudi ndani. Hapa
uume wa mwanaume unakuwa umesinyaa
na kurudi ndani. Uume huu unakuwa
hauna uwezo wa kukamilisha tendo la
ndoa. Hali hii kwa kiasi kikubwa
husababishwa na upigaji wa punyeto kwa
muda mrefu pamoja na magonjwa hasa
hasa chango la kiume au ngiri.
Tajwa hapo juu ni dalili kuu za tatizo la
ukosefu ama/na upungufu wa nguvu za
kiume.
CHANZO CHA TATIZO LA UKOSEFU WA
NGUVU ZA KIUME
Kwa ufupi sana, mambo yafuatayo ndio
vyanzo vikuu vya tatizo la ukosefu wa
nguvu za kiume:-
i. Upigaji punyeto wa muda mrefu.
ii. Msongo wa mawazo.
iii. Ugonjwa wa kisukari na shinikizo la
damu (pressure).
iv. Kupooza kwa mwili.
v. Kuugua ugonjwa wa ngiri.
vi. Kuugua chango la kiume.
vii. Ulevi uliokithiri.
viii. Kuwa na wasiwasi wa kumudu
kutekeleza tendo la ndoa.
ix. Woga wa kufanya tendo la ndoa.
x. Uzoefu wa kukatisha tamaa wa siku za
nyuma.
xi. Ulaji mbovu wa vyakula haswa vyenye
mafuta mengi/kupita kiasi.
xii. Mazingira yasiyoridhisha wakati wa
tendo la ndoa.
ATHARI ZA UPUNGUFU / UKOSEFU WA
NGUVU ZA KIUME
Kutokuwa na nguvu za kiume huleta
madhara na athari nyingi sana kwa
muhusika. Baadhi ya athari hizo ni pamoja
na:-
1. Kuvunjika kwa mahusiano ya kimapenzi.
2. Kuvunjika kwa ndoa.
3. Kujiua: Baadhi ya wanaume hufikia
uamuzi wa kujiua baada ya tatizo kuwa
kubwa na kutumia dawa za aina
mbalimbali bila mafanikio.
4. Upungufu wa nguvu za kiume
huongeza chachu ya maambukizi ya
V.V.U kwa wanandoa: Tatizo la
upungufu wa nguvu za kiume
linapokuwa sugu, hupelekea rafiki wa
kike/ mke wa mwanaume anaye
sumbuliwa na tatizo la upungufu wa
nguvu za kiume, kutoka nje ya ndoa kwa
ajili ya kutimiziwa haja zake za kimwili,
mwisho wa siku mwanamke huyo
huweza kumletea magonjwa mume
wake mwenye tatizo la upungufu wa
nguvu za kiume pindi wanapokutana
kimwili katika hali hiyo hiyo ya
kutoridhishana.
5. Ulevi kupita kiasi; Wakati mwingine
wanaume wanao sumbuliwa na tatizo
hili, huamua kuwa walevi kupita kiasi ili
angalau kupunguza mawazo.
Kwa ufupi ukosefu/ upungufu wa nguvu za
kiume ni tatizo kubwa sana ambalo endapo
halitatafutiwa ufumbuzi na muhusika
linaweza kuyaathiri maisha ya muhusika
kwa kiasi kikubwa sana.
TIBA ASILIA YA TATIZO LA NGUVU ZA KIUME
Zipo dawa mbalimbali asilia zinazo weza
kutibu na kumaliza kabisa tatizo la ukosefu
wa nguvu za kiume. Kati ya tiba hizo, tiba ya
dawa asilia ya nguvu za kiume iitwayo
"JIKO" imethibitika kuwa na uwezo wa
kutibu na kumaliza kabisa tatizo la ukosefu/
upungufu wa nguvu za kiume kwa zaidi ya
ASILIMIA MIA MOJA (100%)
KUHUSU DAWA YA JIKO
Dawa ya JIKO ni dawa ya a ilia (herbal) inayo
tumika kutibu na kumaliza kabisa tatizo la
nguvu za kiume pamoja na visababishi vya
tatizo hii. Dawa hii haimalizi tatizo la
ukosefu wa nguvu za kiume pekee, bali pia
inatibu visababishi ama vyanzo vyote vya
tatizo la nguvu za kiume pamoja na side
effects zitokanazo na baadhi ya visababishi
vya tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume
kama vile kujichua kwa muda mrefu.
Dawa hii ni mitishamba kabisa "pure
herbal" ambayo haijachanganywa na
kemikali yoyote na haina "side effects" kwa
mtumiaji.
Dawa hii hutibu na kumaliza kabisa tatizo la
ukosefu/upungufu wa nguvu za kiume
ndani ya siku thelathini (30).
MFUMO WA DAWA: Dawa ya JIKO ipo katika
mfumo wa mizizi.
MATUMIZI YA DAWA: Dawa hii hutumika
kwa kuchemshwa na kisha kunywa juisi
yake mara mbili kwa siku asubuhi na jioni
kwa muda wa siku thelathini.
DOZI YA DAWA YA JIKO: Dozi ya dawa ya
JIKO hutumika pamoja na vitu vikuu vitatu :
i. Korodani za beberu.
ii. Korodani za jogoo aliyekomaa.
iii. Unga wa Habbat Sawdah au Unga wa
Mjafari au Unga wa Ngano (hapa kama
utakosa unga wa Habbat Sawdah ama
Unga wa Mjafari unaweza ukatumia unga
wa ngano kama mbadala wake).
iv. Karanga mbichi.
MATAYARISHO NA MATUMIZI YA DOZI YA
DAWA YA JIKO
i. Dawa ya jiko yenyewe
Chukua dawa yako ya JIKO kisha iweke
kwenye sufuria halafu ongeza lita mbili za
maji halafu chemsha hadi dawa yako
itakapo anza kutokota na kutoa supu. Ipua
dawa yako na uihifadhi kwenye chupa ya
chai (thermos ). Tumia kunywa vikombe
viwili vya dawa yako mara mbili kwa siku,
asubuhi na jioni. Utakunywa dawa yako
ikiwa ya moto na sio ikiwa ya baridi. Kama
itaingiwa na ubaridi kwa sababu moja au
nyingine, unatakiwa kuipasha moto.
Utafanya hivyo kwa muda wa siku
thelathini.
N.B : JUISI YAKO IKIISHA, UTACHEMSHA KIASI
KINGINE CHA DAWA NA KUFANYA KAMA HAPO
JUU HADI ZITIMIE SIKU THELATHINI
ii. KORODANI ZA MBUZI
Chukua korodani mbili za mbuzi. Zitie ndani
ya lita mbili za maji na uchemshe
kutengeneza supu . Supu yako ikiisha iva
utatumia kula supu yako mara mbili kwa
siku asubuhi na jioni. Hapa asubuhi utakula
supu yako na kipande kimoja cha korodani
na jioni utamaliza supu yako na kipande
kingine cha korodani. Unaweza kuweka na
pilipili mbuzi kwa ajili ya kuongeza ladha.
Utafanya hivi mara moja kwa wiki kwa wiki
nne. Yaani utakula supu mara moja kwa
wiki ya kwanza, wiki ya pili utakula supu
yako tena, wiki ya tatu utakula supu yako
na wiki ya nne utamalizia dozi yako.
HATA HIVYO KAMA UNA UWEZO NA NAFASI
UNAWEZA KULA SUPU YAKO YA KORODANI ZA
MBUZI KWA MUDA WA SIKU ZOTE THELATHINI
ZA DOZI. UKIFANYA HIVI MATOKEA YATAKUWA
MARADUFU ZAIDI.
VILEVILE HATA BAADA YA KUMALIZA DOZI
YAKO UNAWEZA KUWA UNAKULA SUPU YA
KORODANI ZA MBUZI KILA UTAKAPO PATA
NAFASI YA KUFANYA HIVYO.
iii. KORODANI ZA JOGOO
Unatakiwa kumeza korodani za Jogoo
aliyekomaa zikiwa mbichi. Utameza nzima
nzima zikiwa mbichi. Utazimeza pamoja na
maji ya moto.
MATAYARISHO
Unatakiwa uwe na vitu vifuatavyo :
i. Jogoo aliyekomaa pamoja na kisu kikali
ama mchinjaji wa jogoo.
ii. Unga wa Habbat Sawdah au
iii. Unga wa Mjafari au
iv. Unga wa Ngano.
v. Kisosi au ki-plate.
vi. Glasi mbili za maji ya uvuguvugu.
JINSI YA KUFANYA Chinja jogoo wako kisha
mpasue kunyofoa korodani zake. Baada ya
kupata korodani za jogoo, ziweke kwenye
kisosi au kiplate chenye unga wa habbat
sawdah au unga wa mjafari au unga wa
ngano kisha viringisha korodani hizo za
jogoo kwenye unga huo halafu meza
korodani moja baada ya nyingine kwa glasi
moja ya maji ya uvuguvugu.
Utafanya hivi mara moja ndani ya hizo siku
thelathini za dozi. Unaweza kufanya siku ya
kwanza tangu uanze dozi yako au unaweza
kufanya katikati ya dozi au hata wakati
unamaliza dozi.
N.B: KAMA UNA UWEZO NA NAFASI
UNASHAURIWA KUMEZA KORODANI ZA JOGOO
KWA WINGI KADRI UTAKAVYO WEZA.
UTAPATA MATOKEO BORA ZAIDI. KORODANI
ZA JOGOO PAMOJA NA DAWA YA JIKO
ZITAKUSAIDIA KUWA NA UWEZO WA KURUDIA
TENDO BILA KUCHOKA NA KUKAA KIFUANI
KWA MUDA MREFU ZAIDI.
VYAKULA VYA KUTUMIA i. Unashauriwa
kutumia kilo moja ya karanga mbichi kila
wiki kwa muda wa wiki zote nne za dozi
yako. Hii ina maana kuwa kwa wiki zote
nne utatakiwa kutafuna kilo nne za karanga
mbichi.
N.B : KAMA UTAWEZA KUTUMIA ZAIDI YA
KIWANGO HICHO HAPO JUU, LITAKUWA NI
JAMBO BORA ZAIDI
ii. Vile vile unatakiwa kula tikiti maji moja
kwa wiki kwa muda wa wiki nne za dozi.
Yaani wiki ya kwanza ule tikiti moja. Wiki ya
pili tikiti moja. Wiki ya Tatu tikiti moja na
wiki ya nne tikiti moja, jumla matikiti manne
kwa mwezi. UNATAKIWA KUTAFUNA PAMOJA
NA MBEGU ZAKE.
KAZI INAYOFANYWA NA DAWA YA JIKO
Dawa ya JIKO inasadia katika mambo
makuu yafuatayo:
i. Inasaidia kuimarisha mishipa ya uume
ulio legea na hivyo kuufanya uume uwe na
uwezo wa kusimama barabara kama
msumari wakati wa tendo la ndoa.
ii. Inasaidia kusafisha mishipa ya kwenye
uume na hivyo kusaidia katika kuongeza
kasi ya msukumo wa damu kwenye
mishipa ya kwenye uume.
iii. Husaidia kuongeza msukumo (pressure)
wa damu kwenye mishipa ya uume na
hivyo kuufanya uume kuwa na nguvu za
ajabu.
iv. Husaidia ku-relax mind na hivyo
kumfanya mtu awe na uwezo wa
kuconcentrate wakati wa tendo la ndoa bila
kuathiriwa na msongo wa mawazo.
v. Humfanya mwanaume awe na uwezo wa
kurudia tendo la ndoa zaidi ya mara moja
bila kuchoka.
vi. Husaidia kuongeza hamu ya tendo la
ndoa.
vii. Husaidia kuurudisha nje uume ulio ingia
ndani.
viii. Husaidia kutibu side effects za punyeto
na matumizi ya muda mrefu ya dawa kali za
(za kizungu) za kuongeza nguvu za kiume.
ix. Husaidia kutibu chango la kiume.
x. Dawa hii huwasaidia hata wanawake
wanao sumbuliwa na tatizo la ukosefu wa
hamu ya tendo la ndoa.
BEI YA DAWA : BEI YA DAWA HII NI
SHILINGI ELFU THEMANINI TU.( Tshs.80,000/
=)
JINSI YA KUIPATA DAWA
Unaweza kuja kuichukua ofisini kwetu au
kwa wasio weza kufika ofisini kwetu
tunatoa huduma ya kuwapelekea dawa
mahali walipo.
DELIVERY
WATEJA WA MIKOANI : Kwa wateja wa
mikoani tunawatumia dawa kwa njia ya
magari na wale wa Zanzibar tunawatumia
dawa kwa njia ya meli.
WATEJA WA NCHI JIRANI : Kenya, Uganda,
Rwanda & Burundi tunawatumia dawa kwa
njia ya mabasi.
Kwa wateja wa nje ya Afrika : Kwa wateja
wa nje ya Afrika tunawatumia dawa kwa
njia ya posta au DHL.
Wateja wa SOUTH AFRIKA NA BOTSWANA
Kwa wateja wetu waliopo South Afrika na
Botswana tunawatumia dawa kwa njia ya
mabasi au posta.
MAWASILIANO
Wasiliana nasi kwa simu namba
0766538384
0 comments:
Post a Comment