UTI - UGONJWA UNAOUPATA KUTOKA KWA MSICHANA WAKO

Asilimia 75 mpaka 95%, ugonjwa wa UTI huambukizwa kwa kujamiiana na
takwimu ya kiutaaluma, UTI ni ugonjwa unaowatokea zaidi wanawake
kuliko unavyotokea kwa wanaume, kiufupi UTI ni ugonjwa wa kike ikiwa
ni lazima kila mwanamke aupate katika maisha yake na kurudiwa kuumwa
ugonjwa huu ni jambo linalotokeamara kwa mara.UTI ni ugonjwa
unaoathiri njia ya mkojo na figo, husababisha maumivu hasa wakati wa
kukojoa na pia huleta hamu ya kukojoa kwa njia ya maumivu wakati huna
haja ya kukojoa pamoja na maumivu ya tumbo kwa chini. Ugonjwa huu
husambazwa na bakiteria anayeitwa Escherichia Coil pamoja na fangasi
sehemu za siri.Katika dalili za mwanzo mkojo hubadilika na kuwa wa
njano kama umekunywa dawa za paracetamol ambapo iwapo UTI ikikomaa
kabla ya kukojoa hutoka usaa na ikiendelea zaidi husaa utakua unatoka
kila mara bila kukomaa. na kwa UTI ya hali ya juu sana mkojo
huchukuliwa kama sampo na kwenda kupandikizwa kwa uchunguzi zaidi, na
wale wenye maambukizi ya mara kwa mara dozi ya antibiotics inashauriwa
mtu anaweza kuwa anakunywa kama kinga ili kuzuia kujitokeza kwa
maambukizi. Jua Hili, Uke wa mwanamke huwauna vijidudu kinga
saa zote ambapo kupungua au kuongezeka kwa vijidudu hivyo huweza kuto
madhara chanya au hasi kwa afya nzima ya mwanamke, na vijidudu hivi
hivi ndivyo vinavyo husika na harufu ya mwanamke inayotoka sehemu zake
za siri, akiwa mchafu ndo maana anakua na harufu mbaya ndo maana
mwanamke anashauriwa kuoga japo mara mbili kwa siku!. Kwa wanawake
watu wazima ambao wamefikia kikomo cha hedhi wapo hatarini zaidi
kupata maambukizi ya UTI kutokana na kupungukiwa na homoni ya ostrogen
ambayo inausika na ute wa ukeni unaosababisha punguko la vijidudu kiga
ukeni.Maambukizi ya UTI hutokana na mambo mengi ikiwamo kwa asilimia
kubwa kujamiiana,pamoja na kukojoa sehemu chafu hatarishi kwa fangasi.
Ukiona dalili zozote tafadhari kapime na upate ushauri wa daktari na
mpeleke mwenza wako pamoja na wewe maana ukiwa nao wewe kuna uwezekano
kubwa na mwenzio anao, UTI ni mbaya na inaweza kufanya figo isifanye
kazi vizuri au kuiuwa kabisa hasa kwa wale wenye matatizo ya kisukari.

0 comments:

Post a Comment