![]() |
Wanakuja bongo; Roberto Carlos, Ronaldo Lima, Luis Figo na Zinadine Zidane wanatarajiwa kuzuru na kikosi cha magwiji wa Real Madrid nchini mwezi ujao |
REAL MADRID KUTUA NCHINI AGOSTI 22
6:50 PM
No comments
KUMEKUCHA.
Hivyo ndivyo unavyoweza kusema kuhusu ziara ya kikosi cha wachezaji
nyota waliowahi kutamba Real Madrid ya Hispania, maarufu kama Real
Madird Legends ambao watazuru nchini mwezi ujao. Wachezaji
waliotamba kuanzia La Liga, wakacheza ligi nyingine za Ulaya, Kombe la
Ulaya, Ligi ya Mabingwa na Kombe la Dunia waliowahi kuchezea Madrid
watakuja nchini Agosti 22.
Katika
ziara hiyo, pamoja na kucheza mchezo wa kirafiki na kikosi maalum cha
wachezaji nyota wa Tanzania, pia watafanya utalii katika vivutio
mbalimbali, ikiwemo kupanda mlima Kilimanjaro.
Makalio Madogo Ni kikwazo Kwa Wanawake Wengi!! Bofya Hapa

Wanawake nchini Venezuela wanatumia kemikali haramu kuongeza ukubwa wa makalioyao na kujiletea madhara makubwa ya kiafya Hii ni kutokana na mtindo ambao unaonekana na wengi nchini humo kwamba mwanamke mwenye makalio makubwa ndiye anayependeza zaidi
"BIFU" ZITO ROSE NDAUKA NA CHARLZ BABA

Ni dhahiri kuwa sasa , staa wa filamu za Kibongo, Rose Ndauka na Rais wa Bendi ya Mashujaa Musica, Charles Gabriel ‘ Chaz Baba ’ wapo kwenye bifu zito.
Habari kutoka kwa chanzo chetu zinasema kuwa , chanzo cha bifu hilo ni fedha , ambapo Rose alikodisha gari la Chaz Baba kwa ajili ya matumizi yake lakini akalirudisha likiwa limeharibika na kumuomba Chaz alitengeneze kisha angemlipa fedha zake, lakini hakufanya hivyo .
JAJA AMWAGA WINO JANGWANI, SASA KUITUMIKIA MIAKA MIWILI
Jaja
akipokea nakala ya mkataba wake kutoka kwa Katibu Mkuu wa Young
Africans Bw Beno Njovu leo maraa baada ya kusaini kuitumikia kwa miaka
miwili
HATIMAYE mshamabuliaji Geilson
Santos Santana “Jaja” raia wa Brazil leo amesaini mkataba wa miaka
miwili (2014-2016) kuitumikia timu ya Young Africans kwa ajili ya
michuano mbalimbali ikiwemo ya Ligi Kuu ya Vodacom pamoja na mashindano
ya Kombe la Shirikisho barani Afrika mwakani.
DIAMOND AMVISHA TENA PETE YA UCHUMBA WEMA SEPETU...JIONEE MWENYEWE HAPA
Wema Isaac Sepetu (25) ameibua viulizo baada ya kuonekana akirandaranda na pete ya ndoa kidoleni ikidaiwa kuwa amevalishwa na Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kwa siri kubwa, Ijumaa Wikienda lina stori exclusive.
Baada
ya kuwepo kwa habari nyingi kuhusiana na ishu hiyo, Ijumaa Wikienda
liliingia mzigoni kusaka ukweli wa ishu hiyo na kujua mbivu na mbichi.
Subscribe to:
Posts (Atom)