Wakati wa kufanyiwa massage tissue zifuatazo huwa huhusika moja kwa moja klufanyiwa kazi. Muscles, tendons, ligaments, skin, joints, connective tissue na lymphatic vessels.
Maasage huweza kufanyika kwa kutumia mikono, vidole, elbow, forearm na miguu pia Kwa nini massage ni muhimu? Kwanza watu wanapenda kufnyiwa massage na pia massage imeonekana ni njia muhimu clinically kuwa effective kimwili na kihisia.
Maaasage ni tiba ya mwili na nafsi pia huhusika katika emotions na mental needs and wants.
Kwa kuwan touch ni hitaji la msingi la mwili kuunganishwa na mtu mwingine basi massage ni njia nzuri kwa wanandoa kufanyiana wakiwa faragha angalau mara moja kwa wiki hasa kutokana na vurugu za maisha na kuchoka na wakati huohuo kutaka kutimiziwa mahitaji ya tendo la ndoa.
Nini faida za massage kwenye mwili? Huimarisha immune system Ina stimulate kutokea kwa endorphins ambazo ni body natural painkiller. Husaidia kuwezesha kupumua vizuri.
Husaidia kuimarisha mzunguko wa damu na oxygen kwenda kwenye cell zote za mwili na tishu. Inasaidia kuipa mwendo process ya kutoa uchafu mwilini (metabolic wastes)
Huimarisha muscles. huimarisha joints na kuzipa uwezo wa kuwa flexible. hupunguza maumivi ya joints. Huimarisha mapozi. pia inafanya uwe athletic mzuri. Hupunguza stress na anxiety. Hufanya ujisikie relaxed. Huimarisha usingizi.
Huondoa matatizo ya depression. Hufanya ujisikia well being. Hutoa uwezo wa mind na body upya Hufanya ujisikia katika hitaji la kuwa cared, safe na nurtured. Pia kama upo na mumeo au mkeo hufanya ujisikia tayari kwa mahaba.
Je, ni mafuta gani yanafaa kwa kufanyia massage? Sweet almond oil. Apricot kernel oil. Jojoba oil. Fractionated coconut oil Sunflower oil. Avocado oil Cocoa butter, Grapeseed oil. Olive oil Shea butter nk Weekend Njema!
0 comments:
Post a Comment